Kiluwo

Kiluwo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Waluo. Ni tofauti na lugha nyingine za Kiluo nchini Uganda, Kenya na Tanzania ingawa zote ziko katika kundi lilelile kilugha. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kiluwo imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiluwo iko katika kundi la Kinilotiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search